Nenda kwa yaliyomo

Cletus Joseph Benjamin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cletus Joseph Benjamin (2 Mei 1909 - 15 Mei 1961) alikuwa kiongozi kutoka Marekani wa Kanisa Katoliki. Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo kuu la Philadelphia kutoka 1960 hadi 1961.

Cletus Benjamin alizaliwa huko Old Forge, Pennsylvania, kwa Evan Thomas na Mary (née Corcoran) Benjamin.[1] Alihudhuria shule upili huko Scranton.[1] Alisoma katika Seminari ya Mtakatifu Charles Borromeo huko Overbrook kwa miaka miwili kabla ya kuingia Chuo cha Kipapa cha Amerika Kaskazini huko Roma.[1]Pia alisoma katika Chuo Kikuu cha Kipapa cha Gregorian, ambako alipata udaktari katika teolojia. [2]

  1. 1.0 1.1 1.2 O'Donnell, George Edward (1964). St. Charles Seminary, Philadelphia: A History of the Theological Seminary of St. Charles Borromeo, Overbrook, Philadelphia, Pennsylvania, 1832-1964. American Catholic Historical Society.
  2. "BISHOP BENJAMIN, 52, DIES IN PHILADELPHIA", The New York Times, 1961-05-16. 
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.