Claude (Grand Theft Auto)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Claude ni mhusika mkuu na wa kubuniwa katika mchezo wa Grand Theft Auto III, mchezo uliopo katika mfululizo wa Grand Theft Auto uliotengenezwa na Rockstar Games.

Yeye pia anaonekana katika mchezo wa Grand Theft Auto: San Andreas. Katika michezo hii Claude yupo kimya muda wote.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]