Chuo Kikuu cha Lomé
Mandhari
(Elekezwa kutoka Chuo kikuu cha lome)
Chuo Kikuu cha Lomé (Kifaransa: Université de Lomé; kwa kifupi UL) ndicho chuo kikuu kikubwa zaidi nchini Togo. Ipo katika mji wa Lomé, ilianzishwa mwaka 1970 kama Chuo Kikuu cha Benin (Kifaransa: Université du Bénin) na kubadilisha jina lake kuwa Chuo Kikuu cha Lomé mwaka 2001.