Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha Zagazig

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chuo Kikuu cha Zagazig

Chuo Kikuu cha Zagazig (Kiarabu: جامعة الزقازيق) ni chuo kikuu cha umma kilicho katika jiji la Zagazig, Misri.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Zagazig kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.