Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha Stanford

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stanford

Stanford ni chuo kikuu maarufu nchini Marekani, kilichoanzishwa mnamo mwaka 1891 katika mji ya Stanford, California, katika California ya kaskazini.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Stanford kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.