Chuo Kikuu cha Kilimo na Maliasili cha Botswana (BUAN) kinachojulikana rasmi kama Chuo cha Kilimo cha Botswana (BCA) ni Chuo Kikuu cha kilimo kilichopo Gaborone, Botswana.[1]