Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha Kati (Ghana)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo Kikuu cha Kati (kwa Kiingereza: Central University) kilianzishwa na International Central Gospel Church (ICGC) huko Accra, Ghana[1] kama taasisi ya mafunzo ya uchungaji na Mensah Otabil mwaka wa 1988. Mnamo Juni 1991, kilijulikana kama Chuo Kikuu cha Biblia. Baadaye kikawa Chuo Kikuu cha Kikristo mwaka 1993 na hatimaye kikawa Chuo Kikuu cha Kati mnamo 1998.

Mnamo mwaka 2016, kilifikia hadhi ya kuwa Chuo Kikuu chenye mamlaka kamili. Malengo yaliyotajwa ya chuo kikuu ni kutoaelimu ya juu iliyojumuishwa na Biblia kwa kuzingatia haswa mahitaji ya bara la Afrika". [2] Kwa sasa ndicho chuo kikuu kikuu cha binafsi nchini Ghana. [3]

  1. "ABOUT US | International Central Gospel Church – Hosanna Temple – Teshie, Accra, Ghana". www.icgchosannatemple.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-27. Iliwekwa mnamo 2016-11-26.
  2. "Central University College – All About Us". Official Website. Central University College. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Aprili 2007. Iliwekwa mnamo 2007-03-12.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "CENTRAL UNIVERSITY COLLEGE – SCHOOL OF APPLIED SCIENCES". Official Website. Central University College. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-04-06. Iliwekwa mnamo 2007-03-13.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Kati (Ghana) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.