Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha Jimbo la Kaduna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo Kikuu cha Jimbo la Kaduna kiko Kaduna, Jimbo la Kaduna, Nigeria. Kina kampasi nyingine huko Kafanchan.

Kiliundwa mnamo mwaka 2004.[1][2]

Kina vitivo saba na zaidi ya idara 39 na maktaba yenye vitabu zaidi ya 17,000.

Historia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-06-01. Iliwekwa mnamo 2024-07-26.
  2. https://www.nuc.edu.ng/nigerian-univerisities/state-univerisity/