Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha Botswana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo Kikuu cha Botswana (UB) kilianzishwa mwaka 1982, kama taasisi ya kwanza ya elimu ya juu nchini Botswana[[1]] Chuo kikuu kwa sasa kina kampasi tatu: moja katika mji mkuu Gaborone, moja huko Francistown, na nyingine huko Maun. Chuo Kikuu cha Botswana kimegawanywa katika idara sita: Biashara, Elimu, Uhandisi, Sayansi ya Afya, Sayansi na Sayansi ya Jamii na Hospitali ya Mafunzo ya Sir Ketumile Masire. UB inashika nafasi ya 1201-1500 duniani na ya 21 Kusini mwa Jangwa la Sahara Afrika katika 2024 Times Elimu ya vyuo vya juu dunian[2].

  1. "|  EMBASSY OF BOTSWANA, JAPAN". www.botswanaembassy.or.jp. Iliwekwa mnamo 2024-07-13. {{cite web}}: no-break space character in |title= at position 2 (help)
  2. "University of Botswana". Times Higher Education (THE) (kwa Kiingereza). 2024-04-06. Iliwekwa mnamo 2024-07-13.