Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha Afrika Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo Kikuu cha Afrika Kusini (UNISA) ndicho chuo kikuu kikubwa zaidi nchini Afrika Kusini kwa idadi ya wanafunzi waliodahiliwa.

UNISA kinavutia theluthi moja ya wanafunzi wote wa elimu ya juu nchini Afrika Kusini.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Illustrious alumni". 2021-04-15. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Aprili 2021. Iliwekwa mnamo 2021-07-26.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Afrika Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.