Christine Devine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Christine Devine (alizaliwa mnamo 2 Novemba, 1965) ni mwandishi wa televisheni ya Marekani huko Los Angeles. Ni muendeshaji wa kipindi cha KTTV's Fox 11 News.

Ameshinda Emmy 16, pamoja na Tuzo ya kifahari ya Magavana.[1] Emmy sita zilikuwa za umahiri wake na habari bora. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christine Devine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.