Christian Carlassare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ngao yake.

Christian Carlassare M.C.C.I. (amezaliwa Schio, 1 Oktoba 1977) ni askofu Mkatoliki kutoka Italia, kijana kuliko wote wa nchi hiyo.[1]

Alipata upadrisho tarehe 4 Septemba 2004.

Tarehe 8 Machi 2021 ametangazwa kuwa askofu wa Jimbo la Rumbek.[2]

Kitabu[hariri | hariri chanzo]

  • La capanna di padre Carlo. Comboniano tra i Nuer, Comboniani editore, 2020.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. «Rinunce e nomine, 08.03.2021» Bollettino Sala Stampa della Santa Sede 08/03/2021
  2. «Il comboniano vicentino Christian Carlassare diventa il più giovane vescovo italiano» Famiglia Cristiana 09/03/2021

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.