Chosen Becky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chosen Becky
Amezaliwa Februari 20 2000
Masaka, Uganda
Nchi Uganda
Kazi yake Mwanamuziki na mtunzi

Rebecca Kukiriza anajulikana kama Chosen Becky ni mwanamuziki[1] na mtunzi wa nyimbo nchini Uganda.[2][3][4][5]

Kazi ya muziki[hariri | hariri chanzo]

Chosen Becky aligunduliwa na Joseph Kiwangwa baada ya kumvutia kwenye shindano la kuimba huko Masaka, Uganda.[6][7]Becky alianza kazi yake ya muziki mwaka 2017 na kuibuka na Bankuuza kama wimbo wake wa kwanza[4]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chosen Becky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.