Chomutov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa mji wa Chomutov kutokea kaskazini magharibi

Chomutov ni mji wa ishirini na moja kwa ukubwa nchini Ucheki wenye wakazi takriban 46,000 (2022)[1]. Kituo cha jiji kimehifadhiwa vizuri na kinalindwa na sheria kama eneo maalumu la mnara hapo mjini.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chomutov kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.