Nenda kwa yaliyomo

Chishala Kateka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chishala Kateka (alizaliwa 30 Juni 1956) ni mchumi wa Zambia, Mhasibu mwenye Shahada ya Juu (Fellow Chartered Accountant), mwanasiasa, na kiongozi wa Chama cha New Heritage. [1] 2021, aligombea urais wa Jamhuri ya Zambia. Hapo awali, alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Barclays na Tume ya Ushindani, akiwa mwanamke wa kwanza wa Zambia kuongoza bodi hizo mbili. Pia amewakilisha eneo la Afrika kwenye Bodi ya Maadili ya Kimataifa ya Wahasibu (IESBA).[2][3]

  1. http://www.daily-mail.co.zm/kateka-goes-for-presidency/. {{cite web}}: Missing or empty |title= (help)
  2. Chisalu, Phillip (15 Februari 2023). "We must make policy changes to retain dollars in Zambia – Kateka". NewsDiggers.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. https://diggers.news/local/2022/06/14/theres-lack-of-planning-in-govt-kateka/ There is lack of planning in government-Kateka