Chilpancingo, Guerrero
Mandhari
Chilpancingo | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Guerrero |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 166,796 |
Tovuti: Chilpancingo, Guerrero |
Chilpancingo (jina rasmi:Chilpancingo de los Bravo; pia: Ciudad Bravo) udiyo mji mkuu na mji mkubwa wa pili wa Guerrero ukiwa na wakazi 166,796.
Mwaka 2009 mji uliathiriwa na tetemeko la ardhi.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chilpancingo, Guerrero kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |