Jaji Mkuu wa Tanzania
Mandhari
(Elekezwa kutoka Chief Justice of Tanzania)
Jaji mkuu wa Tanzania ni cheo ama wadhifa wa juu zaidi katika mfumo wa mahakama wa Tanzania . Jaji mkuu huteuliwa na Rais wa Tanzania na huongoza Mahakama ya Rufani ya Tanzania. [1]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Baada ya Vita vya Kwanza vya dunia, wakoloni wa zamani wa Tanganyika ,wajerumani waliwekwa chini ya mamlaka ya Uingereza katika Mkataba wa Versailles mwaka wa 1919. [2] Mwaka mmoja baadaye, Mahakama Kuu ilianzishwa kwa sheria katika Baraza na nafasi ya jaji mkuu ikaundwa. [3] Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961 na baada ya mwaka mmoja ikageuzwa kuwa jamhuri. [4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |