Chetumal, Quintana Roo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Chetumal
Nchi Mexiko
Jimbo Quintana Roo
Idadi ya wakazi
 - 136,825
Tovuti: www.chetumal.gob.mx
Mji wa Chetumal, Quintana Roo

Chetumal (Kimaya: Chactemàal - mahali pa mti myekundu) ni mji mkubwa wa pili katika jimbo la Quintana Roo. Mwaka 2005 idadi ya wakazi ilikuwa 136,825. Mji upo m 10 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu muhimu ya uchumi ni utalii.

Mji ulinazishwa mwaka 1898.

Location Chetumal.pngMexico Flag Map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chetumal, Quintana Roo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.