Nenda kwa yaliyomo

Cheick Tidiane Seck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Cheick tidiane seck
Majina mengine Cheick Tidiane Seck
Kazi yake mwanamuziki

Cheick Tidiane Seck ,(amezaliwa Disemba 11, 1953 [1]) ni mwanamuziki wa Mali, mpangaji na mtunzi. Ameandika na kucheza na bendi maarufu duniani za Kiafrika (Fela Kuti, Mory Kanté, Salif Keita, Youssou N'Dour) na jazz (Hank Jones, Dee Dee Bridgewater) pamoja na mwanamuziki Damon Albarn (Blur_(bendi), Gorillaz. na Rocket Juice & the Moon) na Mamadou Diabate (Masaba Kan).

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]
  • MandinGroove (2003)
  • Sabaly (2008)
  • Guerrier (2013)
  • Timbuktu - Muziki wa Randy Weston [2](2018)
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2022-05-03.
  2. https://themusicofproject.bandcamp.com/album/timbuktu-the-music-of-randy-weston