Charlotte Hornets
Mandhari
(Elekezwa kutoka Charlotte Bobcats)
Charlotte Hornets ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Charlotte, North Carolina. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Terry Rozier.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Official website of the Hornets Ilihifadhiwa 24 Septemba 2014 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Charlotte Hornets kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |