Charles M. Roessel
Mandhari
Charles Monty Roessel (28 Juni 1961 – 6 Januari 2025) alikuwa mpiga picha, mwandishi wa habari na msimamizi wa masuala ya kitaaluma kutoka kabila la Navajo (Diné). Alihudumu kama Mkurugenzi wa idara ya elimu ya wenyeji wa Marekani (Bureau of Indian Education) kuanzia mwaka 2013 hadi 2016 na kama rais wa Chuo cha Diné kuanzia mwaka 2017 hadi kifo chake. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charles M. Roessel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |