Charlene Richard
Mandhari
Charlene Marie Richard (13 Januari 1947 – 11 Agosti 1959) alikuwa msichana wa miaka kumi na miwili kutoka Richard, Louisiana, Marekani.
Anajulikana kwa imani maarufu kwamba alifanya miujiza kadhaa. kwa miaka mingi mapadri wa Kanisa Katoliki wa eneo hilo na maafisa wa jimbo waliruhusu, kuhamasisha, na kushiriki katika kumpa heshima kabla ya kutangazwa kuwa Mtumishi wa Mungu.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Gaudet, Marcia (1994). "Folk Veneration Among the Cajuns". Southern Folklore. 51 (2): 153–66.
- ↑ "Mass today honors 'Little Cajun Saint'", Lafayette, LA: Gannett, 7 August 2009.
- ↑ Gagliano, Katie. "Lafayette diocese launches pathway to sainthood for 2 Acadiana residents; third to follow", Acadiana Advocate, 11 January 2020.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |