Chamwino (maana)
Mandhari
Chamwino inaweza kumaanisha
- Wilaya ya Chamwino katika Mkoa wa Dodoma
- Chamwino mjini, kata na mji mdogo katika Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma
- Chamwino (Dodoma mjini), kata ya Wilaya ya Dodoma Mjini katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania
- Chamwino (Morogoro mjini), kata ya Manisipaa ya Morogoro, Tanzania