Chama cha kitaifa cha viziwi cha Somalia
Mandhari
Chama cha kitaifa cha viziwi cha Somalia (SONAD) ni chama cha kitaifa cha viziwi nchini Somalia, kilichoanzishwa aprili 2007. Dhamira ya SONAD ni kuhakikisha kuwa viziwi nchini Somalia wana haki kama raia wengine.[1] Shirika hili linafanya kazi kukuza lugha ya ishara ya Somalia, elimu ya viziwi, na haki za binadamu.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Somali National Association of the Deaf-SONAD". Facebook. Iliwekwa mnamo 2016-02-26.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |