Nenda kwa yaliyomo

Chakula cha Kiigbo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abacha

Chakula cha Igbo ni vyakula vya watu wa Igbo wanaotokea kusini mashariki mwa Nigeria. Msingi wa vyakula vya Igbo ni supu. Supu hizo ni Ofe Oha, Onugbu, Egwusi na Nsala. Magimbi ni kichakula kinacholiwa sana na wa Igbo na pia huchemshwa na kupondwa na kuchanganywa na supu.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chakula cha Kiigbo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.