Cesare Pinarello
Mandhari
Cesare Pinarello (5 Oktoba 1932 – 2 Agosti 2012) alikuwa mwendeshabaiskeli kutoka Italia ambaye alishinda medali mbili za shaba kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto (1952 na 1956).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Cesare Pinarello Olympic Results". sports-reference.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-17. Iliwekwa mnamo 2013-01-01.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cesare Pinarello kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |