Cecilia Oba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cecilia Oba Tito alikuwa meya wa kwanza mwanamke kutoka mji wa Yei, Sudan Kusini.[1]

Alichaguliwa mwaka 2013, akauawa mnamo 9 Novemba 2014.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cecilia Oba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.