Nenda kwa yaliyomo

Carolina, Puerto Rico

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carolina ni mji wa tatu kwa ukubwa huko Puerto Rico ambayo ni eneo maalum la Marekani kwenye kisiwa hicho cha Karibi.

Idadi ya wakazi ni 154,815 (2020).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Carolina, Puerto Rico kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.