Carniriv

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Young Stunna - carniriv 2013

Carniriv ni tamasha la kila mwaka linalofanyika huko port Harcourt, Nigeria. Tamasha huanza wiki chache kabla ya Krismasi na kudumu kwa siku saba. [1] Tamasha la Port Harcourt Carniva huwa na utofauti wa aina yake kwani hujumuisha matasha mawili, tamasha la kiutamaduni na tamasha la kisasa ya staili ya Caribbean.[2][3]


Serikali inatambua Carniriv kama kivutio kikubwa cha utalii. Katika maslahi ya uchumi, serikali imeazimia kukuza tamasha hili itambulike duniani kama moja ya vivutio vya utalii dunia.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Carnival Rivers: Celebration of the tribes (en-US) (2012-12-20).
  2. 2021 Port Harcourt, Nigeria Carnival and Parades - Finelib.com Events.
  3. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-11-17. Iliwekwa mnamo 2013-11-21.
  4. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-11-17. Iliwekwa mnamo 2013-11-21.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carniriv kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.