Nenda kwa yaliyomo

Capulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Capulo ni mji uliopo kaskazini magharibi mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Bengo.

Mwaka 2009 idadi ya wakazi ilikuwa 13,157[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Capulo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.