Captain Planet
Jump to navigation
Jump to search
Captain Planet ni mfululizo wa vikatuni vya mwaka 1990. Viliundwa na Ted Turner. Sababu zilizompelekea Ted Turner kuunda mfululizo huu wa vikatuni vya CP, ilikuwa ni kuburudisha na kutaka kuwa weka watu kuwa makini na hatari dhidi ya mazingira yao. Sauti ya CP iliigizwa na David Coburn, lakini awali aliyeniuwa kuigiza sauti hiyo alikuwa Tom Cruise.
Sifa za Captain Planet[hariri | hariri chanzo]
- Moto
- Maji
- Dongo
- Upepo
- Moyo
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Ted Turner's Captain Planet site Archived 5 Januari 2008 at the Wayback Machine.
- Captain Planet and the Planeteers katika Internet Movie Database