Capercaillie (band)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bendi ya Capercaillie

Capercaillie ni bendi ya muziki ya Kiskoti. Ilianzishwa na Donald Shaw na Karen Matheson. Walitoa albamu wa kwanza mwaka 1984. Wanaimba kwa Kiingereza na Kiskoti.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Capercaillie (band) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.