Cape Town Tigers
Cape Town Tigers ni klabu ya mpira wa kikapu nchini Afrika Kusini yenye makao yake jijini Cape Town.[1] Timu hiyo inapatikana katika kitongoji cha Gugulethu.[2] Ilianzishwa mwaka 2019, makocha ni Raphael Edwards na Vincent Ntunja. Mwaka 2021, klabu ilishinda ubingwa wa kitaifa Afrika Kusini ukiwa msimu wake wa kwanza katika mashindano hayo.
Mataji[hariri | hariri chanzo]
Michuano ya kitaifa Afrika Kusini
- Mabingwa (2): 2021, 2022
Ligi ya Mpira wa Kikapu Afrika
- Mshindi wa Robo fainali[3] (1): 2022
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ We Are The Tigers (en). www.capetowntigers.com. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.
- ↑ "Cape Town Tigers", Wikipedia (in English), 2022-08-23, retrieved 2022-09-02
- ↑ Cape Town Tigers at the ROAD TO BAL 2022 2021 (en). FIBA.basketball. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.