Candy Moloi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Candy Moloi
Amekufa 28 Julai 2020
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Sanaa ya uigizaji

Candy Moloi (10 Februari 1953 - 28 Julai 2020) alikuwa mwigizaji wa Afrika Kusini. Moloi alijulikana kwa jukumu la ‘Vho-Makhadzi’ kwenye uigizaji wa SABC Muvhango.Pia alicheza kwenye uzalishaji wa runinga kuu za SA, zikiwemo Thola, Shakespeare Mzansi na Death of a Queen.[1]

Moloi alifariki Pretoria kwa ugonjwa wa kansa tarehe 28 Julai mwaka 2020. [2][3][1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Candy Moloi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.