Camp Mulla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Camp Mulla ni kikundi cha hip hop kutoka Nairobi, Kenya.

Kikundi hiki kimepata mashabiki wengi kwa muda mfupi, kwa sasa wakiwa na zaidi ya mashabiki 30,000 katika Facebook, wafwasi 29,000 Twitter (zaidi kuliko msanii mkenya maarufu yeyote) na zaidi ya wafwasi 150 katika SoundCloud.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Camp Mulla kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.