Caedmon's Call (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Caedmon's Call(albamu))
Jump to navigation Jump to search
Caedmon's Call
Caedmon's Call Cover
Studio album ya Caedmon's Call
Imetolewa 25 Machi 1997
Aina Nyimbo za Kikristo
Lebo Warner Alliance
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Caedmon's Call
Just Don't Want Coffee
(1995)
Caedmon's Call
(1997)
Limited Edition Tour EP
(1997)

Caedmon's Call ndiyo albamu ya kwanza ya bendi ya Caedmon's Call iliyo na makao yao Houston,Texas. Walirekodi katikaa studio za Nickel & Dime, Avondal Estates, GA.

Nyimbo katika albamu[hariri | hariri chanzo]

 1. "Lead of Love" (Aaron Tate) – 3:58
 2. "Close of Autumn" (Derek Webb) – 4:56
 3. "Not the Land" (Webb) – 5:05
 4. "This World" (Tate) – 3:59
 5. "Bus Driver" (Webb) – 4:57
 6. "Standing up for Nothing" (Webb) – 4:58
 7. "Hope to Carry On" (Rich Mullins) – 2:49
 8. "Stupid Kid" (Webb) – 4:03
 9. "I Just Don't Want Coffee" (Webb) – 6:00
 10. "Not Enough" (Tate) – 3:42
 11. "Center Aisle" (Webb) – 5:47
 12. "Coming Home" (Tate) – 4:21

Waliohusika[hariri | hariri chanzo]

Wanachama wa bendi[hariri | hariri chanzo]

 • Cliff Young – Mwimbaji,Mchezaji gitaa,
 • Danielle Glenn – Mwimbaji
 • Garett Buell – Mchezaji ala
 • Aric Nitzberg – Mchezaji gitaa
 • Todd Bragg – Mchezaji ngoma
 • Derek Webb – Mchezaji gitaa ya umeme

Wanamuziki walioshirikishwa[hariri | hariri chanzo]

 • Randy Holsapple
 • Jane Scarpantoni
 • Don McCollister – Mwimbaji, Mchezaji Gitaa
 • Jeremy Seamans - mwimbaji, mchezaji gitaa
 • Brandon Bush – Mchezaji Piano, Accordion
 • Buddy Ottosen
 • Shiela Doyle –
 • Lori Chaffer – Mwimbaji

Habari za kutolewa[hariri | hariri chanzo]

 • 1997, USA, Warner Alliance 9362-46463-2, Ilitolewa tarehe 25 Machi 1997, CD