Nenda kwa yaliyomo

Burt Lancaster

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Burt Lancaster na Shirley Booth katika seti ya filamu Come Back (1953).
Burt Lancaster mnamo 1947.

Burton Stephen "Burt" Lancaster (2 Novemba 1913 - 20 Oktoba 1994) alikuwa mwigizaji maarufu na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Burt Lancaster alizaliwa New York City, New York. Huyu ni mtoto mjini. Ualwatani wake ulimpa mafunzo ya michezo ya sarakasi kabla ya kuingia katika uigizaji jumla.

Lancaster alijulikana kwa uigizaji wake wenye nguvu na kipekee. Uigizaji ambao ulimfanya kuwa mmoja wa nyota wakubwa wa Hollywood katika miaka ya 1940 na 1950. Alishinda Tuzo ya Academy kama Muigizaji Bora kwa kazi yake katika filamu ya Elmer Gantry (1960). Filamu zake maarufu ni pamoja na From Here to Eternity (1953), Birdman of Alcatraz (1962), The Leopard (1963), na Atlantic City (1980).

Katika kipindi cha kazi yake, Lancaster alishiriki katika aina mbalimbali za filamu. Kuanzia mapigano hadi historia.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:


Makala hii ni sehemu ya mradi wa kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.