Nenda kwa yaliyomo

Buffelspoort

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya bonde la Buffelspoort

Buffelspoort ni bonde la mto lenye kina kirefu. Liko kilomita 10 kutoka kikomo cha magharibi mwa Swartberge katika sehemu iitwayo Klein Swartberge. Baada ya kutoka kwenye Bwawa la Floriskraal mto Buffels unaingia kwenye milima ya Swartberg au Wit Nekke kutokea kaskazini[1][2]. Bonde hilo linaunganisha milima ya kaskazini ya Swartberg na Little Karoo kusini, ambapo Mto Buffels hutokea.

Mto Buffels

Uoto katika bonde hili ni wa asili sababu ni eneo ambalo halijaguswa zaidi, yenye utajiri mkubwa wa Gamka Thicket.[3]

  1. G. Ross: Romance of Cape Mountain Passes. New Africa Books, 2004. p. 155.
  2. P. Raper, T. du Plessis: Dictionary of Southern African Place Names. Jonathan Ball Publishers, 2014.
  3. E. van Jaarsveld: Astroloba cremnophila a new cliff dwelling succulent from the Klein Karoo (Western Cape, South Africa). Bradleya 33/2015, January 2015.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Buffelspoort kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.