Nenda kwa yaliyomo

Brooke Allison (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Brooke Allison
Brooke Allison Cover
Studio album ya Brooke Allison
Imetolewa 19 Juni 2001
Imerekodiwa 2000–2001
Aina Pop
Lebo Virgin Records/2K Sounds
Tahakiki za kitaalamu


Brooke Allison ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya mwimbaji wa muziki wa pop wa Kimarekani Bi. Brooke Allison. Albamu ilitolewa mnamo tar. 19 Juni 2001.

Albamu ina baadhi ya nyimbo zilizotungwa na msanii Mýa, Meredith Brooks na Allan Rich.

Katika kuisifia albamu yake, Brooke alisema haya:

"Albamu ina mzuka wa aina yake - kwa sababu albamu ina staili kibao za muziki". "Nina maana, ndani yake tunapata kusikia muziki wa pop, R&B na ballad, lakini staili kuu ni ile ya pop Top 40!

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "The Kiss-Off (Goodbye)"
  2. "Oh No"
  3. "Toodle-Oo"
  4. "I Miss You"
  5. "Seth"
  6. "Rollercoaster"
  7. "Thought You Might Wanna Know"
  8. "If I Were You"
  9. "Perfect Chemistry"
  10. "Without You"
  11. "Maybe Tonight"
  12. "Dating"
  13. "My Heart Goes Boom"
  14. "Say Goodbye"


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brooke Allison (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.