Bronwen Konecky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bronwen Konecky ni mtaalamu wa tafiti za kisayansi kuhusiana na hali ya hewa ya zama za kijiolojia [1][2]zilizopita na mtaalamu ambaye eneo lake mahususi linatokana na athari za zamani na za sasa za mabadiliko ya hali ya hewa katika nchi za tropiki[3]. Yeye ni profesa msaidizi katika Idara ya Dunia na Sayansi ya Sayari katika Chuo Kikuu cha Washington huko St. Louis.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. R. Bell, M. A. Holmes (2019-07-31). "2019 AGU Section Awardees and Named Lecturers". Eos (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-05-20. 
  2. explorer-directory.nationalgeographic.org https://explorer-directory.nationalgeographic.org/bronwen-l-konecky. Iliwekwa mnamo 2023-05-20.  Missing or empty |title= (help)
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-23. Iliwekwa mnamo 2023-05-20. 
  4. Talia Ogliore-WUSTL (2019-02-11). "Details inside raindrops hint at future water sources". Futurity (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-05-20.