Nenda kwa yaliyomo

Brasilia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Brasilia,Brazil


Brasilia
Nchi Brazil
Brasília (Picha kutoka angani Novemba 1990)
Kanisa Kuu la Brasília wakati wa usiku

Brasília ni mji mkuu wa Brazil mwenye wakazi 2,282,049. Ni mji mpya uliojengwa baada ya katika miaka 1956 - 1960 BK.

Mji mkuu ulihamishwa kutoka Rio de Janeiro ulioko pwani na kandokando la eneo la Brazil kwenda mji mpya wa Brasilia kuanzia mwaka 1960. Brasilia ilijengwa mahali pasipo na mji kabla ya ujenzi wake. Ujenzi ulilenga kupata mji mkuu ulioko katikati ya nchi na kuachana na mapokeo ya kikoloni yaliyojenga mji mku mwambaoni wa bahari kwa sababu ya mawasiliano kati ya koloni na nchi tawala.

Brasilia iko kwenye nyanda ya juu katika kimo cha 1,000 m juu ya UB.

Mahali pa Brasilia katika Brazil
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Brasilia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: