Bra Kevin Beats

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kelvin Anom, pia anajulikana kama Bra Kevin Beats katika anga ya burudani, ni rapa nchini Ghana na anajulikana kwa wimbo wake wa Three Headed Beats and Riddle Riddle[1][2][3][4].

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alikuwa ni sehemu ya kikundi cha Skillion ambacho kilianzishwa na Jayso na T-Kube. KIkundi hicho kiliwajumuisha Joey B na Lil Shaker.

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

  • Alishinda tuzo mbili katika tuzo za 4syte mnamo mwaka 2011
  • Alichaguliwa mara mbili kwa tuzo za muziki za Vodafone Ghana za mnamo mwaka 2012

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bra Kevin Beats kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.