Bow Down (wimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
“Bow Down”
“Bow Down” cover
Single ya Westside Connection
kutoka katika albamu ya Bow Down
B-side "Hoo-Bangin'"
Imetolewa Agosti 28, 1996 (1996-08-28)
Muundo CD single, digital download
Imerekodiwa 1995
Aina Gangsta Rap, West coast hip hop
Urefu 3:27
Studio Priority
Mtunzi O'Shea Jackson, Dedrick Rolison, William Calhoun
Mtayarishaji Bud'da
Mwenendo wa single za Westside Connection
"Bow Down"
(1996)
"Gangstas Make the World Go Round"
(1997)

"Bow Down" ni kibao kikuu kilichotoka katika albamu ya kwanza ya kundi zima la Westside Connection, yenye jina sawa.

Wimbo umekuwa wenye mafanikio makubwa kutoka kwa kundi hili, ukishika nambari 21 kwenye chati za Billboard Hot 100, huku ikishika nafasi ya kwanza kwenye chati za rap. Ukiwa miongoni mwa wimbo maarufu kutoka katika nyimbo za West Coast, kibao hiki kimeonekana mara kadhaa katika makompilesheni kadha wa kadha, ikiwa ni pamoja na Featuring...Ice Cube, The N.W.A Legacy, Vol. 1 na albamu ya Vibao Vikali ya Ice Cube ya 2001, na nyinginezo. Pia wimbo upo katika filamu ya mwaka wa 2002, The Hot Chick.

Historia ya chati[hariri | hariri chanzo]

Nafasi iliyoshika[hariri | hariri chanzo]

Chati (1997) Nafasi
iliyoshika
Billboard Hot 100 21
Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks 19
Billboard Hot Rap Singles 1
Billboard Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales 8
Billboard Rhythmic Top 40 39

Chati za mwishoni mwa mwaka[hariri | hariri chanzo]

Chati ya mwisho wa mwaka (1996) Nafasi
Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles [1] 98
Billboard Hot Rap Singles[2] 18

Marejeo[hariri | hariri chanzo]