Boukha
Jump to navigation
Jump to search
Boukha (Kiarabu cha Tunisia: بوخة) ni kinywaji kilichotolewa kutokana na mtini. Imetokea katika jumuiya ya Wayahudi wa Tunisia, pale ambapo inazidi kuzalishwa kwa wingi.