Boston Celtics
Mandhari
Boston Celtics | |
Ukanda | Eastern Conference |
Daraja | Atlantic Division |
Imeanzishwa | 1946 |
Historia | Boston Celtics (1946–) |
Uwanja | TD Garden |
Mji | Boston, Massachusetts |
Rangi ya timu | Green White Black |
Mmiliki | |
Meneja mkuu | Wycliffe "Wyc" Grousbeck Stephen Pagliuca H. Irving Grousbeck |
Kocha mkuu | Brad Stevens |
D-League affiliate | Maine Red Claws |
Ubingwa | 17 (1957, 1959, 1960, 1961, 1962, 1963, 1964, 1965, 1966, 1968, 1969, 1974, 1976, 1981, 1984, 1986, 2008) |
Mataji ya ukanda | 20 (1957, 1958, 1959, 1960, 1961, 1962, 1963, 1964, 1965, 1966, 1968, 1969, 1974, 1976, 1981, 1984, 1985, 1986, 1987, 2008) |
Mataji ya daraja | |
Tovuti rasmi | nba.com/celtics |
Boston Celtics ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Boston, Massachusetts. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Kemba Walker.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Boston Celtics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |