Borankana
Mandhari
Borankana, ni muziki wa kitamaduni nchini Botswana ambao Kwa kawaida huimbwa au kuigizwa na kabila la klbakwena katika wilaya ya kweneng ya Botswana (molepolole).[1]Borankana inauusiano mkubwa na utamaduni wa Botswana[2].jina lilotumika Kwa borankana ni phathisi Borankana inafanywa Kwa jadi wazee na vijana. kulingana na historia ,Borankana ilichezwa wakati wa shughuli za kikabaila pekee. Inaaminika Kwa mujibu wa historia kwamba wanaume na wavulana pekee ndio walikuwa wakicheza huku wanawake wakiimba, wakipiga makofi na kupiga kelele wakati wa maonyesho.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.knowbotswana
- ↑ "Botswana Dance". KnowBotswana. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Borankana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |