Boonie Bears
Mandhari
Boonie Bears ni filamu ya uigizaji ya vichekesho ya familia ya Kichina iliyoongozwa na Ding Liang na Liu Fuyuan. Ilitolewa mwaka 2015.
Ingawa ilikosolewa na watazamaji wengine wa China kwa kufanana kwake na Walt Disney's Frozen. kipindi hicho kinahusu dubu ndugu wawili wanaokaaa pamoja msituni na wa tayari kumzuia binadamu aendaye kwa jina la Victor ili asi kate miti na kuhakikisha usalama kwa wanyama wote wa msituni. na licha ya haya yote Victor anapata msaada kutoka kwa bosi wake ila dubu hufanikisha kila kitu kila mara.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Boonie Bears kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |