Bongor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maeneo ya mkoa wa Mayo-Khebi Mashariki mwa Chad
Maeneo ya mkoa wa Mayo-Khebi Mashariki mwa Chad

Bongor ni mji uliopo katika mkoa wa Mayo-Kebbi Mashariki nchini Chad. Ndio makao makuu ya mkoa.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 44,578 [1].[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Major Cities, Republic of Chad, tovuti ya citypopulation.de
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bongor kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.