Bongolava
Mandhari
Bongolava |
|
Mahali pa Mkoa wa Bongolava katika Madagaska | |
Majiranukta: 18°46′S 46°03′E / 18.767°S 46.050°E | |
Nchi | Madagaska |
---|---|
Wilaya | 2 |
Mji mkuu | Tsiroanomandidy |
Eneo | |
- Jumla | 16,821 km² |
Idadi ya wakazi (2004) | |
- Wakazi kwa ujumla | 235,000 |
Bongolava ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 235,000. Mji mkuu ni Tsiroanomandidy.
Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bongolava kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy |