Bonde la Kamalondo
Mandhari
Bonde la Kamalondo ni eneo lenye majimaji katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Sehemu ya bonde hilo iko ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Upemba, na linafanyizwa na Mto Lualaba.
Wakati mmoja, huenda eneo hilo lilikuwa na ziwa moja kubwa. Kwa sasa lina maziwa 50; makuu ni maziwa ya Upemba na Kisale.
Maziwa
[hariri | hariri chanzo]Miongoni mwa maziwa 50 ya Bonde la Kamalondo, muhimu zaidi ni:
- Kabele
- Kabwe
- Kange
- Kisale
- Kalondo
- Kapondwe
- Kasala
- Kayumba
- Kiubo
- Lukonga
- Lunde
- Mulenda
- Muyumbwe
- Noala
- Sanwa
- Tungwe
- Upemba
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bonde la Kamalondo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |